Home Page »  M »  Mr. Seed
   

Kumbe Kumbe (feat. Bahati) Lyrics


Mr. Seed Kumbe Kumbe (feat. Bahati)


Mr Seed eh, na Bahati Bahati tena
(EMB Records)


Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh
Kwa Yesu ni raha haaa
Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh
Kwa Yesu ni raha haaa
Kumbe Kumbe, ni ra raha haa
Kumbe Kumbee, ni ra raha haa

Wacha niwashow oh oh
Kwa Yesu ni raha
Namwita papa God oh eeeh
Niliokoka wakacheka hoh hoh hoh
Wakanipa wiki sasa ni more oh oh

Nilizaliwa Huruma,
Na place nimefika ni neema na huruma
Sa ni huduma, kwa Yesu kuna raha
Nakatika nachuchumaa
Nilizaliwa Huruma,
Na place nimefika ni neema na huruma
Sa ni huduma, kwa Yesu kuna raha
Nakatika nachuchumaa

Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh
Kwa Yesu ni raha haaa
Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh
Kwa Yesu ni raha haaa
Kumbe Kumbe, ni ra raha haa
Kumbe Kumbee, ni ra raha haa

Hakuna hangover
Ila bila gharama
Labda turuke kesha
Au kulala salama ah
Yesu asifiwe, hadi Dar Sallama
Hapa tu ni baraka, hatutaki laana
Si ni wachanga ndio,
Na tunataka raha ndio
Tusiharibu matarajio
Ju raha za shetani ni mashaka ndio
Si ni wachanga ndio,
Na tunataka raha ndio
Tusiharibu matarajio
Ju raha za shetani ni mashaka ndio

Nilizaliwa Huruma,
Na place nimefika ni neema na huruma
Sa ni huduma, kwa Yesu kuna raha
Nakatika nachuchumaa

Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh
Kwa Yesu ni raha haaa
Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh
Kwa Yesu ni raha haaa
Kumbe Kumbe, ni ra ni raha haa
Kumbe Kumbee, ni ra ni raha haa

Si ni wachanga ndio,
Na tunataka raha ndio
Tusiharibu matarajio
Ju raha za shetani ni mashaka ndio
Si ni wachanga ndio,
Na tunataka raha ndio
Tusiharibu matarajio
Ju raha za shetani ni mashaka ndio

Nilizaliwa Huruma,
Na place nimefika ni neema na huruma
Sa ni huduma, kwa Yesu kuna raha
Nakatika nachuchumaa
Nilizaliwa Huruma,
Na place nimefika ni neema na huruma
Sa ni huduma, kwa Yesu kuna raha
Nakatika nachuchumaa

Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh
Kwa Yesu ni raha haaa
Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh
Kwa Yesu ni raha haaa
Kumbe Kumbe, ni ra ni raha haa
Kumbe Kumbee, ni ra ni raha haa

Kwa Yesu ni raha haa
Kwa Yesu ni raha haa
Ah Kumbe Kumbe, ni ra ni raha haa
(EMB Records)

Most Read Mr. Seed Lyrics


jennifer lopez handles chanel store incident in istanbul with grace
Jennifer Lopez Handles Chanel Store Incident In Istanbul With Grace
Evren E. - 08 Aug 2025
ozzy osbourne’s cause of death confirmed after legendary career
Ozzy Osbourne’s Cause Of Death Confirmed After Legendary Career
Sasha Mednikova - 05 Aug 2025
soundside music festival 2025 canceled: fans disappointed by abrupt announcement
Soundside Music Festival 2025 Canceled: Fans Disappointed By Abrupt Announcement
Evren E. - 27 Jul 2025
legendary rock icon ozzy osbourne passes away at 76, fans and musicians worldwide pay tribute
Legendary Rock Icon Ozzy Osbourne Passes Away At 76, Fans And Musicians Worldwide Pay Tribute
Sasha Mednikova - 22 Jul 2025
alex warren’s debut album ‘you’ll be alright, kid’ marks a bold step into the music spotlight
Alex Warren’s Debut Album ‘you’ll Be Alright, Kid’ Marks A Bold Step Into The Music Spotlight
Evren E. - 18 Jul 2025
Browse: