Home Page »  K »  Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili
   

Nimefanya Nini Lyrics


Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili Nimefanya Nini

Nimefanya nini Bwana kunipenda hivi?
Nilikuudhi Bwana kwa maovu yangu

Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu

Nilipotea Bwana mbali nawe
Sasa umenivuta, Bwana, kwa upendo wako

Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu

Nakushukuru Bwana kwa upendo wako
Sasa ninaimba Bwana Haleluya

Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu

Nikifika mbinguni Yesu nitasahau yote
Yaliyonipata (mengi) hapa duniani

Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu
Most Read Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili Lyrics


Browse: