Nilikuita Kwa Shangwe Lyrics


Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili Nilikuita Kwa Shangwe

Nilikuita kwa shangwe Lyrics

1. Nilikuita kwa Shangwe; [With rejoicing I called you]
Utakapofika, [When you shall arrive]
Nitakulaki kwa shangwe. [I will receive you with rejoicing]

(Chorus)
Mimi Alfa, Mimi Omega, [ I am Alpha, I am Omega]
Mimi ni Mwanzo na Mwisho; [I am The Beginning and The End;]
Ninakungoja kwa hamu. [I am eagerly waiting for you.]

2. Ewe kijana simama; [Oh you the young, be steadfast;]
Ninakungoja [I am waiting for you,]
Nijekulaki kwa shangwe. [So that I receive you with rejoicing]

3. Ewe mzee simama; [Oh you the old, be steadfast;]
Ninakungoja [I am waiting for you,]
Nijekulaki kwa shangwe. [So that I receive you with rejoicing]

Text & Music composed between circa 1975 and 1980 by Rev. Yemorini Mgallah
(C) 2008 Kikosi cha Injili Tanzania. All rights reserved

Most Read Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili Lyrics



Latest Music News