Home Page »  D »  Diamond Platnumz
   

Nitakukumbuka Lyrics


Diamond Platnumz Nitakukumbuka


Verse 1
Ooooh
Ah
Ale tate tate
Ah
Kinachoniuma ni mazoea
Kunifanya nikeshe usiku na mchana
Ah
Au mate au mate
Ah
Mbele na nyuma nikingojea
Huenda ikabadili mfupa kuwa nyama
Ooh siri yangu siri
Bado natunza iwe yangu
Siri yangu
Japo kuwa natamani kusema
Wachache
Bado naisubiri
Mola hajanipa zamu yangu
Aah
Huenda utanikumbuka siku unifuate
Ah
Moyo kama nguo ukausasangua
Kwa moshoga zako
Ukaacha funguo
Kwa kujishebetua ukaenda zako
Moyo kama nguo ukausasangua
Kwa moshoga zako
Ukaacha funguo
Kwa kujishebetua ukaenda zako

Chorus
Aah
Rudi mama eeh
Nakukumbuka
Nakukumbuka eeh
Nakukumbuka
Mwenzako silali eeh
(x4)

Verse 2
Ah
Niacheni mie
Kinachoniuma ni mazoea
Mie
Siwezi kuficha nimekuzoea
Mie
Kinachoniuma ni mazoea
Mie
Siwezi kuficha nimekuzoea
Hali yangu si shwari
Mda wowote huenda naja (huenda naja)
Fanya uje na daktari
Tena ikibidi waganga (waganga)
Na matafuta hodari
Kutoka binga na tanga
Wale nguli machachali
Wapiga ndele kwa vanga
Ooh ooh
Hizi furaha za duniaa
Mamaaa
Ziko tangu vile iliaa
Mamaaa
Njoo nakusubiriaa
Mamaaa
Ona hata nakuimbiaa
Mwenzako silali

Chorus
Aah
Rudi mama eeh
Nakukumbuka
Nakukumbuka eeh
Nakukumbuka
Mwenzako silali eeh
(x4)
(x2)



jennifer lopez handles chanel store incident in istanbul with grace
Jennifer Lopez Handles Chanel Store Incident In Istanbul With Grace
Evren E. - 08 Aug 2025
ozzy osbourne’s cause of death confirmed after legendary career
Ozzy Osbourne’s Cause Of Death Confirmed After Legendary Career
Sasha Mednikova - 05 Aug 2025
soundside music festival 2025 canceled: fans disappointed by abrupt announcement
Soundside Music Festival 2025 Canceled: Fans Disappointed By Abrupt Announcement
Evren E. - 27 Jul 2025
legendary rock icon ozzy osbourne passes away at 76, fans and musicians worldwide pay tribute
Legendary Rock Icon Ozzy Osbourne Passes Away At 76, Fans And Musicians Worldwide Pay Tribute
Sasha Mednikova - 22 Jul 2025
alex warren’s debut album ‘you’ll be alright, kid’ marks a bold step into the music spotlight
Alex Warren’s Debut Album ‘you’ll Be Alright, Kid’ Marks A Bold Step Into The Music Spotlight
Evren E. - 18 Jul 2025
Browse: