Home Page »  D »  Diamond Platnumz
   

Baba Lao Lyrics


Diamond Platnumz Baba Lao


S2kizzy baby!
Ayoo Lizer

Dangote baba lao (Baba lao)
Simba baba lao (Baba lao)
Chibu baba lao (Baba lao)
Mondi baba lao (Baba lao)
Eeeh Zombie baba lao (Baba lao)
Magufuli baba lao (Baba lao)
Makonda baba lao (Baba lao)
Wasafi chama lao

Ngoma kwa ngoma ni kopo koko
Leo ndani twakesha popo
Waiter tasambazia moko moko
Moja baridi, Moja moto
Mmechoka eti? (Aaah! Wapi)
Mnataka lala? (Aaah! Wapi)
Tungi limezidi? (Aaah! Wapi)
Tuzime muziki?(Aaah! Wapi)

Asa twende kisamugile, sambamba, Hapo vipi inabamba??
Inogile inatamba, basi chanika musamba
Eeeh!! Wataweza kweli? (Aaah! Wapi)
Kushindana nasi? (Aaah! Wapi)
Hata wakiungana? (Aaah! Wapi)
Matusi kututukana? (Aaah! Wapi)

Dangote baba lao (Baba lao)
Simba baba lao (Baba lao)
Chibu baba lao (Baba lao)
Mondi baba lao (Baba lao)
Eeeh Zombie (Baba lao)
Magufuli baba lao (Baba lao)
Mwakyembe baba lao (Baba lao)
Wasafi chama lao

Hajib selema, Adija Selema (Selema)
Mondi nyangema, Shimo ametema (ametema)
Amefosi bifu mseleleko (Eeeh! Tumemkwepa)
Amebaki masononeko (Eeeh! Wanamcheka)
Kwanza kunja goti (Lee kunja goti)
Kisha vua shati (Eeeh vua shati)
Cheza kama monkey (Aiii!)
Vunja ukidanki danki
Eeeh! Tumewachapa (Kidude)
Hakichomoki (Kidude)
Kimewanasa (Kidude)
Wanatapatapa (Kidude)

Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh!
Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh!
Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh!
Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh!

Dangote baba lao (Baba lao)
Simba baba lao (Baba lao)
Chibu baba lao (Baba lao)
Mondi baba lao (Baba lao)
Eeeh Zombie baba lao (Baba lao)
Magufuli baba lao (Baba lao)
Majaliwa baba lao (Baba lao)
Wasafi chama lao

Mzuka ukipanda na hili shati navua (acha uongo)
Mzuka ukipanda na hili bukta navua (acha uongo)
Jamani navua (acha uongo)
Mama navua (acha uongo)
Mwenzenu navua (acha uongo)
Eeeeh! Kuna Basata
Basi napiga Yope (Huwezi)
Ooooh! Napiga Yope (Huwezi)
Iyobo napiga Yope (Huwezi)
Mi napiga Yope (Huwezi)

Eeeeh [x12]

Tale napiga Yope (Huwezi)
Mi napiga Yope (Huwezi)
Momo napiga Yope (Huwezi)
Fungwe napiga Yope (Huwezi)

Eeeeh [x12]



Browse: