Home Page »  S »  Salmin Swaggz
   

Intro Lyrics


Salmin Swaggz Intro




Katika maisha, tunakutana na watu wa aina nyingi sana
Wapo watakaopenda maendeleo yako
Wapo watakaochukia maendeleo yako
Unachotakiwa kujifunza ni sio kila mtu utakayekutana nae
Ataijua thamani yako
Je, unaijua thamani yako?
Au ndo unasubiri Yesu ashuke?



Browse: