Home Page »  R »  Rayvanny
   

Tetema (feat. Diamond Platnumz) Lyrics


Rayvanny Tetema (feat. Diamond Platnumz)




[Intro: Rayvanny]
Aya twende tetema (oh, mama tetema)
Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema)
Aya twende tetema (oh, mama tetema)
Shuka chini tetema (oh, mama tetema)
It's s2kizzy baby

[Verse 1 Rayvanny]
Tetema yani kama umepigwa shoti
Tetema nipe migandisho ya roboti
Tetema ukutani hadi kwenye kochi
Tetema kwenye giza mama shika tochi
Katoka kamenoga (oh mama)
Nikape ndizi za Bukoba (oh mama)
Nikapandisha bodaboda (oh mama)
Kakichoka kuchuma mboga (oh mama)

Aii mama shigidi
Nakufa hoi wikidi
Aii mama shigidi
Konki, fire, moto, liquid

[Chorus: Rayvanny]
Aya twende tetema (oh, mama tetema)
Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema)
Aya twende tetema (oh, mama tetema)
Shuka chini tetema (oh, mama tetema)
Aya twende tetema (oh, mama tetema)
Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema)
Aya twende tetema (oh, mama tetema)
Shuka chini tetema (oh, mama tetema)

[Verse 2: Dimond Platnumz]
Tetema yani kama vile generator
Tetema kama mwizi kakupiga ngeta
Tetema mwendo wa kutunga kupepeta
Tetema chini nikupuliza tarumbeta
Asa whozi dozi cheza shogoloza
Kufa chali kama mende
Maria Roza poza tungi limekoza
Twende nikupige nyembe

You make my mind go low, go low, go low
Ukinuna tu mie doro, doro, doro (washa)
Sa' nipe za digi digi (washa)
Miuno ya Gigi Gigi (washa)
Funga kibindo mgwiji, gwiji (washa)
Nikunyonge ka zigi zigi
Teeete.....

[Chorus: Rayvanny]
Oh, mama tetema
Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema)
Aya twende tetema (oh, mama tetema)
Shuka chini tetema (oh, mama tetema)
Aya twende tetema (oh, mama tetema)
Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema)
Aya twende tetema (oh, mama tetema)
Shuka chini tetema (oh, mama tetema)

[Outro: Diamond Platnumz & Rayvanny]
Ayo Lizer.....(chiii)
Kichaa kime-kime, kimempanda
Amewehuka (Kime-kimempanda)
Kapandisha mizuka (kime-kimempanda)
Ana ruka ruka (kime-kimempanda, mama)
Kichaa kime-kime, kimempanda
Kapanda juu ya meza (kime-kimempanda)
Eti anavua shati (kime-kimempanda)
Kalewa anacheza (kime-kimempanda)
Yani varangati
Wasafi



shining a new light: how modern concert & studio lighting transforms music
Shining A New Light: How Modern Concert & Studio Lighting Transforms Music
Sasha Mednikova - 25 Jun 2025
ed sheeran drops “drive” for f1: the album with rock icons backing him
Ed Sheeran Drops “drive” For F1: The Album With Rock Icons Backing Him
Evren E. - 20 Jun 2025
will smith shares emotional on-stage moment with son jaden during father’s day concert
Will Smith Shares Emotional On-stage Moment With Son Jaden During Father’s Day Concert
Evren E. - 16 Jun 2025
mariah carey returns to the spotlight with daring new “type dangerous” music video
Mariah Carey Returns To The Spotlight With Daring New “type Dangerous” Music Video
Sasha Mednikova - 10 Jun 2025
the harmony of color and sound: american singers shaping contemporary art
The Harmony Of Color And Sound: American Singers Shaping Contemporary Art
Sasha Mednikova - 04 Jun 2025
Browse: