Home Page »  N »  Navy Kenzo
   

Katika (feat. Diamond Platnumz) Lyrics


Navy Kenzo Katika (feat. Diamond Platnumz)

[Intro: Nahreel]
Yeah yeah
No no
Nahreel on the beat

[Chorus: Nahreel]
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee

[Verse 1: Nahreel]
Ninamidadi ka ya rumba, eeh
Kibao kata kinyonga, ooh naa
Mfukoni namavumba, weeeh
Nungu chini linasunta, eeeh
Yani bo bo bo bo
Kananikoshaga roho ooo
Yani nasimama de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo
Baby girl dance for me one time (secreto)
Miono feni kunata (secreto)
Tena jifunge na ngata (secreto)
Zile za kibao kata (secreto)

Baby girl dance for me one time (secreto)
Miono feni kunata (secreto)
Tena jifunge na ngata (secreto)

[Chorus: Nahreel]
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katikaaaeee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
(Mbbbrrrookkkee)
Katika, katikaaee
(Aaiiruubuudaani!)

[Verse 2: Diamond Platnumz]
Yani katoto ka ndi, kako ndi ndi ndi
Kamekazika yani ngi ngi ngi
Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwii
Kana misifa shangi ngi ngi
Nilikavizia kitamboo (aah eeh)
Loe kamenasa chambo (aah eeh)
N'takapakia na mgando (aah eeh)
Kajegeje karambo (aah eeh)
Buuumbaaiii!
Kana michezo ngomani
Sindimba izombe
Nami nampatia za pwani
Muhogo wa jang'ombe
Yani e e e e
Kananikoshaga roho o o o
Waga nasimama de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo
Oooh yaaah, ooh nadendea
Yani siwezi kutembea
Che cheme na chechemea
Yani hadi na legea
Aki!

[Chorus: Nahreel]
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katikaaaeee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee

[Verse 3: Aika, Diamond]
Maumivu naugulia
Mwiba ukizama nahisi mateso
Utamu mang'ang'ania
Ndizi kwa nyuma Napata mchecheto
Nakuna Nazi kwa mkongojo (aah eeh)
Naunga mchuza wa sotojo (aah eeh)
Una la rosti rojo rojo (aah eeh)
Mikunjo Fulani wa bogojo (aah eeh)
Kibao kata tenteme tenteme
Kilinge ni kuzama uchutame
Uwezi pata we mpaka usimame
Haichagui mwembamba mnene
Nikalaze kwa bed kitanda (kwa geto)
Nikachezeshe samba (roketo)
Na kalivo na body kinanda (sepetu)
Tunguli zimenibamba (mobetto)
Mama

[Chorus: Nahreel]
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katikaaaeee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee


cardi b and nyc mayor launch jingle contest for free childcare
Cardi B And Nyc Mayor Launch Jingle Contest For Free Childcare
Chris Page - 03 Apr 2026
afroman scores court win in ohio after deputies’ defamation case falls apart
Afroman Scores Court Win In Ohio After Deputies’ Defamation Case Falls Apart
Evren E. - 21 Mar 2026
shawn mendes and bruna marquezine spark fresh dating buzz after malibu walk
Shawn Mendes And Bruna Marquezine Spark Fresh Dating Buzz After Malibu Walk
Sasha Mednikova - 18 Mar 2026
inside the canadian homes of music superstars: where hitmakers actually live, work, and reset
Inside The Canadian Homes Of Music Superstars: Where Hitmakers Actually Live, Work, And Reset
Faith Thompson - 14 Mar 2026
american pop stars with business brains: how 3 singers turned fame into real brands
American Pop Stars With Business Brains: How 3 Singers Turned Fame Into Real Brands
Evren E. - 07 Mar 2026
Browse: