Home Page »  L »  Leteipa The King
   

Waridi Lyrics


Leteipa The King Waridi

INTRO:
(Unanikomesha) Uhhhhhh
(Unanikomesha)
(Unanikomesha) Ni vampK
(Unanikomesha) 254 (Big Daddy)

VERSE 1
Ukidunga kamini
Gunia Gauni ama Dera ,Bado we ni mashini..
Sijui nikwanini, Nikikuona nahisi nginyera inakata
maini..
Wanashangaa ati Niko Boring na hauendagi
kwao
Wanasambaza nyori na hatukulagi kwao
Bila chapaa hatuna ngori fiti zaidi yao
Hata tukiwa na njaa tunala story finger pande yao

HOOK
Nitunze Kama mshumaa ama koroboi
Ndo nisipoe, unipende Mimi... Mhhh
Kuna wengi shujaa wenye pesa na Mali dooh
Wasikutoe unitende Mimi, ..

CHORUS
Wasikuvizie unikimbie mpenzi (Waridi)
Na huu unyonge wangu si nitanyong'onyea
(Waridi)
Nivumilie, nikuhudumie, babe (Waridi)
Hata ng'ombe za Nyanyangu ntakupea eeeeh
(Unanikomesha)
Nyumba magari havishindi thamani yako,
(Unanikomesha)
Ntapeana vyote niwe nawe mababe boo
(Unanikomesha)
Sukari asali havishindi utamu wako
(Unanikomesha)
Naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu
(Unanikomesha)
(Unanikomesha)

VERSE 2
Kuja ghetoni tupike
Ukaange nikionja Hadi kwa sufuria kaive, iyeeih
Kisha stima tuzime
Tukule mziki kwa nguvu mpaka majirani wakujee,
iyeeeh
Ulivyojaah
Nika unakulaga ijumaa
Ukinishika moyo unashikwa na kaswende
nazubaa
Unanifaa, yaani mi ndo Giza we ndo taa
Ninavyokupenda nikama nimekuzaa eeeh

HOOK
Nitunze Kama mshumaa ama koroboi
Ndo nisipoe, unipende Mimi... Mhhh
Kuna wengi shujaa wenye pesa na Mali dooh
Wasikutoe unitende Mimi, ..

CHORUS
Wasikuvizie unikimbie mpenzi (Waridi)
Na huu unyonge wangu si nitanyong'onyea
(Waridi)
Nivumilie, nikuhudumie, babe (Waridi)
Hata ng'ombe za Nyanyangu ntakupea eeeeh
(Unanikomesha)
Nyumba magari havishindi thamani yako,
(Unanikomesha)
Ntapeana vyote niwe nawe mababe boo
(Unanikomesha)
Sukari asali havishindi utamu wako
(Unanikomesha)
Naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu
(Unanikomesha)
(Unanikomesha)


keith urban and nicole kidman call it quits after 19 years
Keith Urban And Nicole Kidman Call It Quits After 19 Years
Faith Thompson - 29 Sep 2025
jon bon jovi’s grandpa glow: rock star dives into family life with millie and jake
Jon Bon Jovi’s Grandpa Glow: Rock Star Dives Into Family Life With Millie And Jake
Evren E. - 23 Sep 2025
morgan wallen’s heartfelt night in canada: a song for erika kirk
Morgan Wallen’s Heartfelt Night In Canada: A Song For Erika Kirk
Sasha Mednikova - 14 Sep 2025
hilary duff’s big comeback: new tunes and a raw docuseries
Hilary Duff’s Big Comeback: New Tunes And A Raw Docuseries
Evren E. - 09 Sep 2025
sabrina carpenter drops a heart-tugging surprise for her fans
Sabrina Carpenter Drops A Heart-tugging Surprise For Her Fans
Sasha Mednikova - 04 Sep 2025
Browse: