Home Page »  J »  Jose Chameleone
   

Tubonge Lyrics


Jose Chameleone Tubonge

Tubonge, Chameleone naomba
Tubonge
Mungu Baaba, We long ye'
Gospel time now... ooh Lord
Nina wewe wa kweli
Katika wote ninae ni wewe
Anae nipenda kamili
Bila kipimo unanipenda hakuna kiasi
Ningetaka nikuone nikupe
Vyote vyangu, nikupe chochote
Unachotaka chochote upate
Lakini sina namna ya ku kupata

Ungekua na faasi una ishi
Ata ingekua mbali vipi
Ningekuja nikuone wewe
Ungekua na nambari ya simu
Hata sura yo uli ificha!

Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana
Njo... I don't know what to do, to do
Am waiting for you

Njo... Nimesubiri sana lini tutaonana
Njo... Rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli

Huu rafiki yangu nimempa sasa tuzo
Ana siri zangu nyingi siogopi mateso
Hao wabishi hawanitishi na mawazo
Ninae, Ninae...
Mlinzi wangu sasa mi sitaki fujo
Nikiwa nae siogopi vya devil
Paddy man ongeza bass na treble
Nimtaje kama ninaimba tangazo

Ungekua na faasi una ishi
Ata ingekua mbali vipi
Ningekuja nikuone wewe
Ungekua na nambari ya simu
Hata sura yo uli ificha!
Tubonge, Chameleone naomba
Tubonge
Mungu Baaba, We long ye'
Gospel time now... ooh Lord

Njo nikupe cho chote unataka
Hatuja kutana mi nakufuata
Njo nikukaribishe kwangu
Njo nikupikie chakula tamu
Naomba nikuonyeshe na watoto wangu
Njo nikuonyeshe baba na mama wangu
Nikuonyeshe marafiki zangu
Nami, na moyo wangu

Ungekua na faasi una ishi
Ata ingekua mbali vipi
Ningekuja nikuone wewe
Ungekua na nambari ya simu
Hata sura yo uli ificha!
Most Read Jose Chameleone Lyrics


Browse: